Tanzania SMC | Wyckoff | Elliot Wave Traders

21 members

Sheria---Usiposti faida kwenye group.---Usitume chart ya baada kama haukutuma ile ya kabla, kwahiyo anza ya kabla haujaingia kwenye trade kisha ndio baadae utume ya baada na hakikisha unaitag ile ya kabla ili watu waone.---Usitume signals bila chart

Join

Similar Channels/Groups

Search for more Channels/Groups